Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili viunganishi

Jadili viunganishi.

Answers


KELVIN
? Neno au fungu la maneno la kuunganishia.
Aina

? Vya kujumuisha pamoja
? na
? aidha (pia)
? isitoshe
? kadhalika (pia))
? tena
? mbali na
? fauka ya (zaidi ya)
? Vya kukatiza ili kupambanua
? walakini (lakini)
? bali (lakini)
? ijapokuwa (hata kama)
? ingawa (hata kama)
? Vya kuonyesha kinyume cha mambo
? ilhali
? licha ya
? Kuonyesha masharti
? budi (lazima)
? lazima
? sharti
? ikiwa (kama)
? bidi
? Vya sababu
? kwa
? kwa sababu
? maadamu (kwa kuwa)
? madhali (kwa kuwa)
? kwa vile/maana
? kwa ajili/minajili ya
? mintaarafu (kutokana na)
? Vya kuonyesha Chaguo
? au
? ama
? wala
? Viunganishi vingine na maana zake
? ila (isipokuwa)
? laiti (kama)
? lau (kama)
? mradi (bora)
? angalau (bora zaidi)
? bighairi (bila ya kujali) k.m.Minghairi vitu vilivyo kwenye kabati vinginevyo unaweza kuvichukua.
? seuze/sembuse (kulinganisha ili kuonyesha tofauti)
? labda (pengine)
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:31

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions