Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tunga sentensi kuonyesha matumizi tofauti ya th na dh

Tunga sentensi kuonyesha matumizi tofauti ya th na dh.

Answers


kelvin
Thamini
a) tia maanani, heshimu
Dhamini
a) toa pesa maakamani ili mshtakiwa asitiwe korokoroni
Thamani
a) kima
Dhamana
a) malipo ya kortini
Thibiti
a) kuwa ya kweli/kuaminika
b) Habari imethibiti.
Dhibiti
a) tia mkononi
b) Nikidhibiti pesa zangu kutoka kwake nitanunua baiskeli.
c) weka chini ya mamlaka
Ridhi
a) kubali
b) pendezwa na jambo
Rithi
a) miliki kitu kutoka kwa mtu aliyekufa ama uliye na uhusiano naye
b) pata jambo au ujuzi kutoka kwa mtu mwingine

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:07

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions