Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili umuhimu wa tunu katika tamthilia ya kigogo.

Jadili umuhimu wa tunu katika tamthilia ya kigogo.

Answers


Raphael
Mhusika Tunu ametumiwa na mwandishi kuonyesha kuna wazalendo katika jamii kwani tunamwona anatetea haki za wanasagamoyo kwa kubishana na Majoka. Pia mwandishi ametumia mhusika Tunu kuonyesha ni kielelezo bora kuwa wanawake wanaweza kuwa viongozi kwani Si wanaume pekeake ndio wako na uwezo Wa kuwa viongozi. Mhusika Tunu ametumiwa kujenga sifa mbaya za Majoka Kama vile yeye ni kiongozi mbaya ambaye anajinufaisha na Mali ya wananchi.
Earlen 254 answered the question on October 10, 2018 at 14:09

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions