Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa: Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.

Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa:
Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.

Answers


Jim
Majumba hayo yalijengwa mbali na jiji lile.

jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:08

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions