Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
"Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"a) Eleza muktadha wa dondoo hii.b) Taja na ufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima.d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo.
Answer Attachments
Next: Find the variance and standard deviation of 3, 5, 7, 9, 11
Previous: P and Q are two points such that OP = i + 2j + 3k and OQ = 4i + 5j – 3k. M is...
View more Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index
Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
Date posted: May 6, 2019 . Answers (1)
“Rasta twambie bwana!”a) Weka dondo katika muktadhab) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hilic) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe?d) Je, mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii.
Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo
“..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hilic) Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua.
Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.