Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Sentensi hizi ni za aina gani? i) Lonare anatembea kwa kasi. ii) Halima anaandika hali Ekomwa anasoma

Sentensi hizi ni za aina gani?
i) Lonare anatembea kwa kasi.
ii) Halima anaandika hali Ekomwa anasoma

Answers


Kavungya
(i) Sahili/ sentensi ya wazo moja/ kitenzi kimoja
(ii) Ambatani/ vitenzi viwili zaidi/ mawazo mawili zaidi/ kiunganishi
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 09:11

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions