Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika sentensi mbili zifuatazo kama sentensi moja kwa kutumia kiwakilishi kirejeshi. i) duka la Bahati lina bidhaa nyingi ii) Juma anafanya kazi katika duka la Bahati.

Andika sentensi mbili zifuatazo kama sentensi moja kwa kutumia
kiwakilishi kirejeshi.
i) duka la Bahati lina bidhaa nyingi
ii) Juma anafanya kazi katika duka la Bahati.

Answers


Kavungya
Mzizitizo ni duka la bahati. Munyambuliko wa fanya haukubaliki
(i) Duka la bahati anamo/ po/kofanya kazi juma linabidhaa nyingi
(ii) Juma anafanya kazi katika duka la Bahati lililo/mlimo/palipo/kuliko na
bidhaa nyingi
(iii) Duka la bahati lenye bidhaa nyingi ndimo Juma anamofanya kazi
(vi) Juma anafanya kazi katika duka la Bahati ambalo lina bidhaa nyingi
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 10:08

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions