Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Fafanua mambo matano yanaosababisha kutokea kwa lahaja.

Fafanua mambo matano yanaosababisha kutokea kwa lahaja.

Answers


Kavungya
- Kutawanyika kwa watu wanaotumia lugha moja
• Kuingiliana na kuoana
• Uhusiano baina ya watumiajai wa lugha
• Utawala na mfano wa siasa
• Dini
• Elimu ambapo ama fulani yalugha hutumiwa
• Mwachano wa kijiografia
• Utabaka
Kavungya answered the question on September 28, 2019 at 08:58

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions