Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika kwa usemi wa taarifa:- “Wasichana wakielimishwa wataweza kuwa bora kuliko wavulana,” Naibu wa Chansela wa chuo Kikuu aliwaambia mahafala.

Andika kwa usemi wa taarifa:-

“Wasichana wakielimishwa wataweza kuwa bora kuliko wavulana,” Naibu wa Chansela
wa chuo Kikuu aliwaambia mahafala.

Answers


Maurice
Naibu wa Chansela chuo kikuu aliwaambia mahafala kuwa wasichana wangeelimishwa
wangeweza kuwa bora zaidi masomoni kuliko wavulana.
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:42

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions