Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tofautisha maana (a) Ningekuwa na uwezo ningesafiri kwenda ng’ambo (b) Ningalikuwa na uwezo ningalisafiri kwenda ng’ambo

Tofautisha maana
(a) Ningekuwa na uwezo ningesafiri kwenda ng’ambo
(b) Ningalikuwa na uwezo ningalisafiri kwenda ng’ambo

Answers


Davis
i)Kuna uwezekano
ii) Hakua uwezekano
Githiari answered the question on September 25, 2017 at 08:30

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions