Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

ISIMUJAMII .Taja na ueleze njia tano zinazochangia maenezi ya lugha ya Kiswahili nchini.

ISIMUJAMII
Taja na ueleze njia tano zinazochangia maenezi ya lugha ya Kiswahili nchini.

Answers


john
Njia zinazochangia maenezi ya Kiswahili.
-Dini
-Biashara
-Shule kinatahiniwa kiwango viwango vyote.
-Vyombo vya habari – magazeti /runinga /filamu.
-Ndoa baina ya watu wa jamii tofauti.
-Malezi ya kisasa.
-Lugha ya taifa /rasmi.
-Vitabu vya riwaya / ushairi /tamthilia vya waandishi mbalimbali.
-Tamasha za muziki na maigizo.
-Mijadala na hotuba mbalimbali redioni na katika mabaraza.
(zozote tano na maelezo sahihi (2x5=10)
john3 answered the question on November 20, 2017 at 18:17

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions