Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza fani zifuatazo za maghani: 1.Vivigo 2.Tondozi 3.Pembezi 4.Rara

Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara

Answers


ESTHER
Vivugo ni maghani au ushairi wa kughana ambapo mtu hujisifu mwenyewe Kwa uhodari wake.
Tondozi ni maghani ya kusifu watu mashuhuri katika jamii kama vile mashujaa na viongozi .
Pembezi ni maghani ya sifa kuhusu mpenzi. Pembezi pia hurejelea tungo za sifa kuhusu kundi fulani la watu kama vile wanawake au matukio mahsusi katika jamii Kama vile mafuriko njia n.k.
Rara ni hadithi fupi za kishairi ambazo huambatana na ala za muziki wakati wa kughana.
ESTHER STEVE answered the question on December 12, 2017 at 20:04

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions