Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Bainisha matumizi ya’ku’ katika sentensi hii. Kufaulu kwako kutakuletea heshima ikiwa hukudanganya katika mtihani huo.

Bainisha matumizi ya’ku’ katika sentensi hii.
Kufaulu kwako kutakuletea heshima ikiwa hukudanganya katika mtihani huo.

Answers


Lydia
Kufaulu- Hutumiwa mwanzoni mwa kitenzi nomino
Kutakuletea- Kiwakilishi cha nafsi ya pili umoja
Hukudanganya-Kiambishi cha wakati uliopita katika hali ya kukanusha
lydiajane74 answered the question on November 25, 2017 at 00:23

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions