Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Akifisha kifungu hiki. Wanyama hawa kiboko ndovu tembo ngiri na ngawa wanyama wa pori wote hupatikana katika mbuga ya maasai mara.

Akifisha kifungu hiki.
Wanyama hawa kiboko ndovu tembo ngiri na ngawa wanyama wa pori wote hupatikana katika mbuga ya maasai mara.

Answers


john
Uakifishaji :
Wa nyama hawa: kiboko, ndovu ( tembo), ngiri na ngawa ; wanyama wa pori, wote hupatikana katika mbuga ya Masai Mara
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:43

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions