Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza kaida zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha

Eleza kaidi zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha

Answers


Bonface
Umri-Wazee hutumia lugha fiche na yenye busara ilhali vijana hutumia lugha yenye matusi

Jinsia-Wasichana hutumia lugha yenye upole ilhali wavulana hutumia lugha ya ukali.

Tabaka-Marajiri hutumia lugha tofauti na watu wenye pato la chini

Cheo-Watu wenye vyeo mbalimbali hutumia lugha ya uongozi tofauti na wale wanaoongozwa

Muktadha-Lugha inayitumiwa hospitalini ni tofauti na ile lugha ya shuleni.

Malezo-Mtoto ambaye amelelewa kwa lugha ya matisi akiwa mkubwa hutumia lugha yenye matusi

Lengo ya lugha-Lugha ya kutoa tahadhari ni tofauti na ile ya kuburudisha.


Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 15:33

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions