Viwakilishi vya nafsi ya kwanza- mfano ni Mimi.
Viwakilishi vya nafsi ya tatu- mfano ni Yeye
Andreaz answered the question on November 28, 2017 at 03:41
-
Unda vitenzi kutokana na nomino hizi.
i) Hotuba
ii) Tiba
(Solved)
Unda vitenzi kutokana na nomino hizi.
i) Hotuba
ii) Tiba
Date posted:
November 25, 2017
.
Answers (1)
-
Toa mifano miwili miwili kwa sauti zifuatazo: (i) Sauti ghuna ambazo ni vipasuo (ii) Si ghuna ambazo ni vikwamizo.
(Solved)
Toa mifano miwili miwili kwa sauti zifuatazo:
i) Sauti ghuna ambazo ni vipasuo.
ii) Si ghuna ambazo ni vikwamizo.
Date posted:
November 25, 2017
.
Answers (1)
-
Ziandike sayari zote kwa Kiswahili
(Solved)
Ziandike sayari zote kwa Kiswahili.
Date posted:
November 23, 2017
.
Answers (1)
-
Eleza hatua muhimu zinazofuatwa katika uandishi na usahihishaji wa Insha.
(Solved)
Eleza hatua muhimu zinazofuatwa katika uandishi na usahihishaji wa Insha.
Date posted:
November 23, 2017
.
Answers (1)
-
Eleza mtindo wa uainishaji wa ngeli.
(Solved)
Eleza mtindo wa uainishaji wa ngeli.
Date posted:
November 22, 2017
.
Answers (1)
-
Andika tarakimu hii kwa maneno: 10,001.
(Solved)
Andika tarakimu hii kwa maneno: 10,001.
Date posted:
November 21, 2017
.
Answers (1)
-
ISIMUJAMII .Taja na ueleze njia tano zinazochangia maenezi ya lugha ya Kiswahili nchini.
(Solved)
ISIMUJAMII
Taja na ueleze njia tano zinazochangia maenezi ya lugha ya Kiswahili nchini.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Eleza matumizi ya vile katika sentensi hii. Vile vile seremala alitengeneza meza.
(Solved)
Eleza matumizi ya vile katika sentensi hii.
Vile vile seremala alitengeneza meza.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Bainisha virai nomino, virai vivumishi, na virai vielezi katika sentensi ifuatayo: Yule mwalimu mwenye ndevu amewasili ukumbini sasa hivi.
(Solved)
Bainisha virai nomino, virai vivumishi, na virai vielezi katika sentensi ifuatayo:
Yule mwalimu mwenye ndevu amewasili ukumbini sasa hivi.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo: Chakula chote kitaharibika. Chakula chochote kitaharibika.
(Solved)
Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo:
Chakula chote kitaharibika. Chakula chochote kitaharibika.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Eleza sababu tano za kuchanganya na kubadili ndimi/msimbo.
(Solved)
Eleza sababu tano za kuchanganya na kubadili ndimi/msimbo.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.
(Solved)
Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’
(Solved)
Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Bainisha vitenzi katika sentensi hii. Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.
(Solved)
Bainisha vitenzi katika sentensi hii.
Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Bainisha viwakilishi katika sentensi hii. Aliwaletea kalamu tatu.
(Solved)
Bainisha viwakilishi katika sentensi hii.
Aliwaletea kalamu tatu.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii. Huyu amekuja kutuliza.
(Solved)
Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii.
Huyu amekuja kutuliza.
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Tunga sentensi kwa kutumia vivumishi vifuatavyo (i) Kivumishi cha kusisitiza
(Solved)
Tunga sentensi kwa kutumia vivumishi vifuatavyo.
(i) Kivumishi cha kusisitiza
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Ainisha viambishi katika sentensi hii. Mlipewa
(Solved)
Ainisha viambishi katika sentensi hii.
Mlipewa
Date posted:
November 20, 2017
.
Answers (1)
-
Huku ukizingatia riwaya ya kidagaa kimemwozea na ken walibora eleza umuhimu wa wahusika wafuatao Matuko Weye, Mtemi Nasaba Bora, Lowela
(Solved)
Huku ukizingatia riwaya ya kidagaa kimemwozea na ken walibora eleza umuhimu wa wahusika wafuatao Matuko Weye, Mtemi Nasaba Bora, Lowela
Date posted:
November 17, 2017
.
Answers (1)
-
Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara
(Solved)
Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara
Date posted:
November 17, 2017
.
Answers (1)