Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Toa maana mbili katika sentensi. Mama alimpigia mtoto mpira

Toa maana mbili katika sentensi.
Mama alimpigia mtoto mpira.

Answers


Bonface
i)Mama alipiga mpira kwa niaba ya mtoto.
ii)Mama alipiga mtoto kwa sababu ya mpira
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 19:32

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions