Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika katika usemi wa taarifa "Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.

Andika katika usemi wa taarifa
"Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.

Answers


Bonface
Amani alimwuliza Dora kwa nini alimfanyia mwenzake kahara na kutaka kujua kama angeenda kumwomba radhi
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:01

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions