Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ni nini maana na umuhimu wa miviga katika jamii?

Ni nini maana na umuhimu wa miviga katika jamii?

Answers


Erick
maana;miviga ni sherehe za kitamaduni ambazo hufanywa na jamii yoyote karika kipindi maalum cha mwaka.
UMUHIMU;
huelimisha jamii mfano vijana jandoni huelimishwa kuhusu mambo ya utu uzima.
huonyeshwa matarajio ya jamii kwa vijana.
ni kitambulisho cha jamii kila jamii ina miviga yake.
huhifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii.
hukuza uzalendo.
huhimiza na kukuza umoja miongoni mwa wanajamii.
erickmokaya answered the question on December 28, 2017 at 07:20

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions