Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana ya maghani

Eleza maana ya maghani.

Answers


kelvin
Ni ushairi ambao hutolewa kwa kalmia (nusu kuimba nusu kuongea kama afanyavyo padre) badala ya kuimbwa tofauti kati ya maghani na nyimbo ni kuwa maghani hayaimbwi, hata hivyo kimaudhui maghani ni sawa na nyimbo kama za kazi, maombolezi au siasa; kama ilivyo katika nyimbo.
kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:56

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions