Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza njia tofauti za kuanisha misimu

      

Eleza njia tofauti za kuanisha misimu

  

Answers


KELVIN
Misimu hutofautiana kwa kutegemea
a) Wahusika – kuna misimu ya vijana, mabaharia au wanafunzi neno beste hutumiwa na vijana kumaanisha rafiki
b) Matilaba – kuna misimu ya kuendesha biashara neno ‘kungara ‘linamaanisha kuvaa nguo inayopendeza na ‘sare’ lina kubebwa kwenye matatu bila kulipa nauli.
c) Vifaa- kuna misimu ya vyakula, pesa na vyombo vingine .maneno ‘nyaki’ ni nyama na ‘ashu’ ni shilingi kumi.
d) Mahali- kila eneo huibua misimu yake.gari la uchukuzi kwa uma nchini Kenya ni ‘matatu na nchini Tanzania ni ‘daladala ‘
e) Wakati au kipindi - misimu hubadilika kulingana na wakati au kipindi kwa mfano, wakati wa uchaguzi wa 2002 nchini Kenya kulizuka neon unbwogable lililomaanisha wasioshindwa na lika toweka katika muktadha baadaye.

kalvinspartan answered the question on July 30, 2018 at 17:51


Next: Taja sifa nne kuu za misimu
Previous: Eleza maana ya lakabu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions