
a) Vielezi vya Namna/Jinsi
? Ambavyo hueleza vile jambo lilifanyika.
Aina
? Vielezi namna mfanano
? Vinavyoeleza vile jambo lilifanyika kwa kufananisha na nomino au vivumishi.
? Huchukua viambishi KI na VI.
? Anakula kifisi.
? Tulifanya kazi vizuri.
? Vielezi namna viigizi
? Maneno ambayo kiasili ni vielezi k.m. sana, haraka, ghafla, mno, kabisa, pole, barabara n.k.
? Mwenda pole hajikwai.
? Vielezi namna hali
? Hueleza hali ya tendo.
? Alilelewa kwa shida.
? Alilewa chakari
? Vielezi namna vikariri
? Huelezea vile jambo lilifanyika kwa kurudiwarudiwa
? Alinijibu kimzahamzaha.
? Tembea polepole.
? Yeye hufanya kazi yake hivi hivi/ovyo ovyo
? Mbwa alibweka bwe! Bwe! Bwe!
? Vielezi namna ala
? Walimpiga Stephano mawe/kwa mawe.
? Vielezi Namna Viigizi
? Hueleza vile kitendo kilitendeka kwa kutumia tanakali.
? Mbuni alianguka majini chubwi!
b) Vielezi vya Idadi/Kiasi
? Maneno ambayo hutaja kitendo kimetendeka mara ngapi.
Aina
? Vielezi vya idadi halisi
? Tulivamiwa mara moja.
? Vielezi vya idadi ya jumla
? Alitoroka mara kadha/nyingi/chache.
c) Vielezi vya mahali
? Hutaja mahali kitendo kilitendekea.
Aina
? Vielezi vya mahali vya maneno kamili
? Ndege ilipofika Nairobi, ilitua chini.
? Vielezi vya mahali vya aina ya viambishi
? Ni viambishi po, ko, mo na ni.
? Alipolala palikuwa na siafu.
? Wanacheza uwanjani.
d) Vielezi vya wakati
? Hutaja kitendo kililifanyika wakati gani.
Aina
? Vielezi vya wakati vya maneno kamili
? Rais atawasili kesho/mwaka ujao.
? Kielezi cha wakati cha kiambishi (po ya wakati)
? Nililala nilipofika nyumbani
kalvinspartan answered the question on August 10, 2018 at 08:29
-
Jadili vielezi
(Solved)
Jadili vielezi.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili vivumishi na viwakilishi vya pekee
(Solved)
Jadili vivumishi na viwakilishi vya pekee.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili vivumishi na viwakilishi vya a-unganifu
(Solved)
Jadili vivumishi na viwakilishi vya a-unganifu
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili vivumishi na viwakilishi viulizi
(Solved)
Jadili vivumishi na viwakilishi viulizi
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya vivumishi na viwakilishi
(Solved)
Eleza maana ya vivumishi na viwakilishi
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili aina tofauti za vitenzi vishirikishi
(Solved)
Jadili aina tofauti za vitenzi vishirikishi.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili aina tofauti za vitenzi
(Solved)
Jadili aina tofauti za vitenzi
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya kitenzi
(Solved)
Eleza maana ya kitenzi
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Kwa kutolea mifano tambua njia tofuati za kuunda maneno katika lugha ya kiswahili
(Solved)
Kwa kutolea mifano tambua njia tofuati za kuunda maneno katika lugha ya kiswahili
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza ngeli ya PAKUMU huku ukitoa mifano katika sentensi
(Solved)
Eleza ngeli ya PAKUMU huku ukitoa mifano katika sentensi.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili ngeli ya KU
(Solved)
Jadili ngeli ya KU.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili ngeli ya U-U kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii
(Solved)
Jadili ngeli ya U-U kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili ngeli ya U-ZI huku ukitoa mifano ya nomino katika ngeli ya U-ZI
(Solved)
Jadili ngeli ya U-ZI huku ukitoa mifano ya nomino katika ngeli ya U-ZI
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili ngeli ya I-ZI kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii
(Solved)
Jadili ngeli ya I-ZI kisha utoe mifano ya nomino katika ngeli hii.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili ngeli ya I-I huku ukitoa mifano yake
(Solved)
Jadili ngeli ya I-I huku ukitoa mifano yake.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza ngeli ya LI-YA huku ukitoa mifano
(Solved)
Eleza ngeli ya LI-YA huku ukitoa mifano
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza kwa kutoa mifano ngeli ya KI-VI
(Solved)
Eleza kwa kutoa mifano ngeli ya KI-VI
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Huku ukitoa mifano jadili ngeli ya YA-YA
(Solved)
Huku ukitoa mifano jadili ngeli ya YA-YA.
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Kwa ukamilifu jadili ngeli ya U-YA
(Solved)
Kwa ukamilifu jadili ngeli ya U-YA
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza kikamilifu ngeli ya U-I
(Solved)
Eleza kikamilifu ngeli ya U-I
Date posted:
August 10, 2018
.
Answers (1)