Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Sifa za fonimu ni zipi?

Sifa za fonimu ni zipi?

Answers


Mueni
Katika lugha ya Kiswahili tunaweza kutofautisha fonimu za aina tatu:

Fonimu za irabu ambazo ni a - e - i - o - u
Fonimu za nusuirabu ambazo ni w - y
Fonimu za konsonanti ambazo zinaonyeshwa kwa herufi za b - ch - d - dh - f - g - gh - h - j- k - kh - l - m - n - ny - ng' - p - r - s - sh - t - th - v - z; baadhi zinaonyeshwa kwa kuunganisha herufi mbili kama vile dh - kh - ng - ng`- th.

Fonimu huweza kubadili maana ya neno katika lugha husika.

mf.-[punga], hapa fonimu [p] ikibadilishwa na kuwekwa fonimu nyingine maana ya neno la awali hubadilika.
mf.-[tunga] fonimu [t] imebadili maana ya neno la awali punga
irene kiseve answered the question on December 7, 2018 at 19:14

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions