Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

(i) Taja vihusishi vitatu vinavyorejelea mahali, wakati na kiwango (ii) Tunga sentensi kuonyesha matumizi ya kila kihusishi

(i) Taja vihusishi vitatu vinavyorejelea mahali, wakati na kiwango
(ii) Tunga sentensi kuonyesha matumizi ya kila kihusishi

Answers


Kavungya
i) Mahali: ndani ya. Mvunguni mwa/kando ya/chini ya/ ukumbini
mwa/ mkabala mwa/ pembeni mwa/ukingoni mwa/nyuma ya/mpaka
karibu na/ hadi/mpaka/kwa pembezoni mwa.
ii) Kiwango: Mpaka/hadi/kadiri ya /kati ya/zaidi ya chini ya/ juu ya/
kwa/ hata
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 13:24

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions