Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika kw msemo halisi: Baba alipotuuliza kama tungependa kwenda Mombasa wakati wa likizo tulimjibu kwamba tulitaka kwenda Kisumu kwa kuwa tulikuwa hatujaliona Ziwa Victoria.

Andika kw msemo halisi: Baba alipotuuliza kama tungependa kwenda
Mombasa wakati wa likizo tulimjibu kwamba tulitaka kwenda Kisumu
kwa kuwa tulikuwa hatujaliona Ziwa Victoria.k

Answers


Kavungya
“Mtapenda kwenda Mombasa wakati wa likizo?” Baba alituuliza. Tunataka
kwenda Kisumu kwa kuwa hatujaona ziwa Victoria” tulijibu.
Baba aliuliza, “mtapenda kwenda Mombasa wakati wa likizo?” “tunataka
kwenda Kisumu kwa kuwa hujaona ziwa Victoria” tulimjibu.
“Je, mtapenda?
Kavungya answered the question on June 29, 2019 at 06:32

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions