Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Huku ukitoa mifano mwafaka onyesha matumizi mawili ya kinyota(*) katika sarufi ya Kiswahili.

Huku ukitoa mifano mwafaka onyesha matumizi mawili ya kinyota(*)
katika sarufi ya Kiswahili.

Answers


Kavungya
(i) Kuonyesha maendelezo mabaya ya neno, kunalipigana bana
(ii) Kuonyesha mpangilio mbaya ya maneno katika sentensi km baba kile chakula a. alikula
(iii) Tafadhali “ hakuna njia hapa kuonyesha neno lisilofaa katika mkadhaa
(iv) Kuandika neno geni km anakula matoke
(v) Kuashiriana maelezo yaliyotolewa chimau ufafanusi au maelezo zaidi.
Kavungya answered the question on June 29, 2019 at 06:35

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions