Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

ISIMU JAMII Eleza majukumu matano matano ya Kiswahili kama lugha ya Kitaifa na Kimataifa.

ISIMU JAMII
Eleza majukumu matano matano ya Kiswahili kama lugha ya Kitaifa na Kimataifa.

Answers


Kavungya
Kitaifa
(i) Hifadhi ya amani utamaduni na utaarabu wa taifa
(ii) Hifadhi ya kumbukumbu za kihistoria.
(iii) Kitambulishi cha utaifa
(iv) Ugwe wa kuunganisha watu au kiunganishi cha taifa
(v) Huwapa watu hadhi na staha
(vi) Hutumika katika utafiti
(vii) Hutumika katika biashara
(viii) Siasa
(ix) Elimu
(x) Mbunge
(xi) Sheria
(xii) Kuelezea sera za serikali
(xiii) Ni chombo cha utangazaji
(xiv) Ni chombo cha sannaa
(xv) Ni chombo cha mawasiliano
(xvi) Ni chombo cha ajira
(xvii) Ni kigezo cha kuchuja wanaojiunga na viwango mbalimbali
(xviii) Katika uandishi
(xix) Hukuza michezo
(xx) Kujenga uzalendo
(xxi) Katika sherehe za kitaifa.

Kimataifa.
i. Hutumwa kufunzia vyoni
ii. Katika mawasiliano katika mikutano ya kitaifa
iii. Kutangazia katika idhaa mbalimbali
iv. Katika uandishi wa majarida na magazeti
v. Katika utafiti
vi. Kama chombo cha ajira
vii. Kuandika na kutafsiria maandishi au sanaa maarufu za kimataifa
viii. Kusambaza na kukuza utamaduni wa kimataifa
ix. Katika burudani
x. Katika teknolojia au maendeleo ya kitekinologia
xi. Huchangia katika kukuza lugha zingine
xii. Hukuza amani baina nchi au watu tofauti
xiii. Ni kitambulishi cha mataifa ya Afrika mashariki
xiv. Husawazisha watu wa mataifa mbalimbali
xv. Hukuza michezo
xvi. Huendeleza biashara
Kavungya answered the question on June 29, 2019 at 06:49

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions