Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela

“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?

Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela

Answers


Maurice
(i) Anakosa kazi katika shirika la magazeti

(ii) Kuachwa na Penina

(iii) Kukejeliwa na Daktari Mabonga

(ii) Hapewi pesa za masurufu na wazazi

(v) Kushindwa kujibu maswali wakati wa mahojiano – anaaibika

(vi) Njaa – Anaamua kupika uji

(vii) Hana nguo za kisasa/ simu/tarakilishi na kadhalika

(viii) Anasumbuka kiakili kwa sababu ya hali /asili/umaskini

(ix) Kufukuzwa na Penina

(x) Shuka zake zimechanika
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 11:19

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions