Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?

RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei

" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"

Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?

Answers


Maurice
(i) Walichomewa nyumba zao kwa mfano Ridhaa alichomewa jumba lake la kifahari.

(ii) Watu wao waliuwawa kwa mfano familia ya Ridhaa ilichomwa na Bwana Kedi jirani yao.

(iii) Walikimbia na kutorokea msituni.

(iv) Watoto wao walibakwa kwa mfano mabinti zake Kaizari walibakwa na vijana wenzao.

(v) Walitoroka kuacha makwao wakawa maskwota.
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 09:31

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions