Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

"Sisi kama wazazi...........hukabiliana na mengi...........mara nyingi tabia zao hutupiga chenga........"

"Damu nyeusi na hadithi zingine"
"Sisi kama wazazi...........hukabiliana na mengi...........mara nyingi tabia zao hutupiga chenga........"
a) Weka dondoo hili katika muktadha wake
b) Dhihirisha mbinu NNE za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
c) Jadili yaliyomsibu mrejelewa.

Answers


sharon
a) Msemaji Bi Margaret
Wasemewa Wazazi wa Sela (Mzee Butali na Mama Sela)
Mahali Ofisini kwa Bi. Margaret
Kiini Bi. Margaret alikuwa amewaita wazazi wa Sela ili kuwajuza kuhusu hali yake ya uja uzito
b) Tashbihi Sisi kama wazazi
Tashihisi- Tabia hutupiga chenga.
Nahau- hutupiga chenga.
Mdokezo – chenga…….
c)
- Alikpachikwa mimba na Masazu.
- Alifukuzwa shule
- Aliaibika gwarideni na wenzake.
- Anakabiliwa na ulezi akiwa bado mdogo.
- Anamlea mtoto katika mazingira ya umaskini.
- Alifukuzwa nyumbani.
- Kuacha masomo kwa muda wa miezi tatu ili akitunze kitoto chake.
- Aliwakosa rafiki zake aliokuwa amezoeana nao.
- Alisombwa na maji usiku.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:48

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions