Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Matambiko ni nini? Eleza dhima zake mbili.

Matambiko ni nini? Eleza dhima zake mbili.

Answers


sharon
-Ni sadaka inayotolewa kwa Mungu, miungu au mizimu moja kwa moja kupitia kwa miungu.
- Wazee pia walifanya matambiko.

dhima
i) Hutumika kwa kuwaonya wanajamii dhidi ya vitendo viovu
ii) Kuadilisha jamii kutenda mema wakicha laana
iii) Uleta umoja katika jamii. Kaida na miiko hufanya watu kuishi kama kitu kimoja
iv) Kitambulisho cha jamii. Kila jamii ina namna ya kutoa maagizo.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:15

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions