Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Kwa kurejelea tamthilia ya Mstahiki Meya, fafanua vichocheo vya migogoro katika jamii ya Cheneo.

Kwa kurejelea tamthilia ya Mstahiki Meya, fafanua vichocheo vya migogoro katika jamii ya Cheneo.

Answers


sharon
i) Ushauri mbaya
ii) Tamaa ya Meya na Madiwani.
iii) Ubinafsi miongoni mwa madiwani.
iv) Matumizi mabaya ya vyombo vya dola.
v) Sheria mbovu /kandamizi- katiba mbaya.
vi) Uwezo mkubwa wa Meya -Mayors Act.
vii) Ujinga miongoni mwa raia/ wapiga kura.
viii) Unafiki miongoni mwa viongozi- mhubiri.
ix) Utoaji wa zabuni/kandarasi, kwakutofuata kanuni za baraza.
x) Mitazamo hasi-Meya na Siki.
xi) Ukosefu wa dawa- Waridi na Siki.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:26

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions