Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja mifano ya taswira katika hadithi ya tumbo lisiloshiba?

Taja mifano ya taswira katika hadithi ya tumbo lisiloshiba?

Answers


Moureen

Kuna vibanda vya uchwara vinavyozungukwa na uozo na bubujiko LA maji machafu.
Kuna uvundo unaopasua mianzi ya pua.
Wakati huo ndipo pua za wazungumzaji hawa ziliponasa harufu za vyakula vilivyotoka jioni.
Jitu lilikuwa limevaa suti nyeusi na shati jeupe.
Limekabwa shingoni na tai la buluu iliyozama kwenye misuli ya shingo fupi nene.
Harufu mchanganyiko zilizowaingia puani na kukaza mate vinywani mwao.
karanumoureen answered the question on September 18, 2019 at 10:57

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions