Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi. i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya. ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.

Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi.

i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya.

ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.

Answers


Martin
i)“Ruheni, wacha tabia mbaya.” Kasisi alimushauri.

ii)“ Premji, fanya bidii katika masomo yako.” Mwalimu alimwabia
marto answered the question on October 3, 2019 at 05:36

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions