Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ainisha vielezi katika sentensi zifuatazo. (i)Jaribu kujitahidi kisabuni usianguke mtihani. (ii)Wachezaji wote wameingia uwanjani.

Ainisha vielezi katika sentensi zifuatazo.
(i)Jaribu kujitahidi kisabuni usianguke mtihani.
(ii)Wachezaji wote wameingia uwanjani.

Answers


Kavungya
Kisabuni – namna mfanano.
Uwanjani – mahali
Kavungya answered the question on October 3, 2019 at 13:02

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions