Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru

Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru

Answers


Wilfred
1. Misafara ya watu waliokuwa wakishiriki katika biashara ya Pwani na sehemu za bara.

2. Maingiliano ya watu waliokuwa wakifanya biashara ya utumwa, pembe za ndovu n.k.

3. Sababu za kisiasa ambapo wakoloni walitaka kutumia Kiswahili ili kuendeleza utawala wao.

4. Juhudi za kutoka kusambaza dini ya Kiislamu na kikristo miongoni mwa mwenyeji.

5. Matumizi ya vyombo vya habari kama magazeti, redio n.k
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:57

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions