Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.

Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.

Answers


Maurice
-Ushindani kutoka lugha nyingine kama kiingereza
- Hadhi – Kiswahili kimedunishwa
- Athari za lugha ya mama
- Mitazamo hasi kuhusu Kiswahili
- Kutokuwepo kwa sera mwafaka kuhusu matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa muda mrefu
- Kuhusishwa kwa lugha ya Kiswahili na dini ya kiislamu/ eneo la pwani
- Wamishenari walieneza dini zao kwa lugha ya kiingereza
- Kutokuwa na vitabu vya kutosha vilivyoandikwa kwa Kiswahili
- Uchache wa wataalamu wa lugha ya Kiswahili
- Mkazo wa ufundishaji wa lugha za kikabila katika shule za msingi
- Kuwepo kwa sheria katika shule kuwa Kiswahili kizungumzwe siku moja kwa juma
-Lugha imetengwa katika matumizi ofisini za kiserikali
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 09:44

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions