Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Toa sababu nne zinazosababisha watu kufanya makosa katika matumizi ya lugha.

Toa sababu nne zinazosababisha watu kufanya makosa katika matumizi ya lugha.

Answers


Maurice
(i) Athari ya lugha ya kwanza.

(ii) Kutofahamu kanuni za kisarufi.

(iii) Kutoelewa kaida za matumizi ya lugha.

(iv) Uhamishaji wa kanuni za lugha moja hadi nyingine.

(vi) Ujuzi wa lugha nyingi za mzungumaji.

(vii) Kutafsiri lugha ya mama katika Kiswahili.

(viii) Upungufu wa viungo vya kutamkia kama vile meno.

(ix) Ukosefu wa baadhi ya sauti za Kiswahili katika lugha asili ya mzungumaji.

(x) Kutoimudu lugha vilivyo

(xi) Kurithishwa lugha isiyo sanifu na matamshi mabaya na walimu au wazazi.
maurice.mutuku answered the question on November 20, 2019 at 11:25

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions