Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
Eleza kwa nn wafanya biashara waarabu walfanikiwa sana kueneza Kiswahili nchini Tanganyika kuliko Kenya
Answer Attachments
Next: Kama kiswahili si lahaja ya kiarabu,Basi ni lugha mseto.Taathmini madai haya
Previous: Sera ya lugha ya uingereza ilitatiza kukua nakuenea kwa Kiswahili nchini Kenya “ jadili kauli hii kwa tafsili
View more Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index
Kama kiswahili si lahaja ya kiarabu,Basi ni lugha mseto.Taathmini madai haya
Date posted: December 6, 2021 . Answers (1)
Huku ukidondoa ushahidi wa kiisimu jadili madai kwamba kiswahili ni lugha asili ya kiafrika
Ushahidi was kihistoria ni muhimu katika kujadili swala la chimbuko la kiswahili.Jadili kauli hii kwa kurejelea Ushahidi huo
Kwa kutoa mifano fafanua vipengele vitano vya kiisimu vinavyothibitisha kwamba kiswahili ni lugha ya kibantu
Eleza upungufu wa nadharia inayodai kwamba Kiswahili ni lugha ya mseto
Orodhesha maneno mengine ya Kiswahili yakiyokopwa kutoka lugha mbalimbali za kigeni na uzitaje lugha hizo
Je kwa maoni yako, unafikiri asili ya neno 'Kiswahili' ni nini?