Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Bainisha aina za nomino zilizotumika katika sentensi ifuatayo. Zabibu alipata malezi mazuri kutoka kwa wazazi wake.

Bainisha aina za nomino zilizotumika katika sentensi ifuatayo.
Zabibu alipata malezi mazuri kutoka kwa wazazi wake.

Answers


Kavungya
i) Zabibu; nomino ya pekee
ii) malezi; nomino ya dhahania
iii) wazazi; nomino ya kawaida
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:33

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions