Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.

Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.

Answers


Kavungya
- Huwa na mianzo maalum-hapo zamani za kale….
- Huwa na miishio maalum- hadithi yangu yaishia hapo.
- Husimuliwa kwa lugha ya natharia
- Hutumia mbinu ya takriri
- Masimulizi huwa ya wakati uliopita
- Huwa na funzo Fulani ambalo hutajwa mwishoni mwa hadithi
- Huwa na wahusika mbalimbali kama vile binadamu,wanyama,ndege,mito,mawe,miungu,wadudu
- Huwa na muundo rahisi wenye mwanzo,kati na mwisho.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 06:50

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions