Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza maana ya aina zifuatazo za silabi: Silabi funge Silabi wazi Silabi mwambatano

Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza maana ya aina zifuatazo za silabi:
Silabi funge
Silabi wazi
Silabi mwambatano

Answers


Kavungya
Funge-huishia kwa konsonanti m-tu

Wazi- huishia kwa irabu u-a

Mwambatano- Huundwakwavitamkwaviwili au zaidi . mfano: /nd/,/mb/, /ch/
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 09:01

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions

  • Neno ‘chungu’ lina maana –enye kutokuwa na tamu. Eleza maana zake zingine mbili. (Solved)

    Neno ‘chungu’ lina maana –enye kutokuwa na tamu. Eleza maana zake zingine mbili.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Andika matumizi mawili ya mshazari. (Solved)

    Andika matumizi mawili ya mshazari.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Andika katika ukubwa. Mwanamwali huyu alijinunulia viatu vya ngozi. (Solved)

    Andika katika ukubwa.
    Mwanamwali huyu alijinunulia viatu vya ngozi.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Weka Nomino hizi katika ngeli zake. Raha Kumbikumbi (Solved)

    Weka Nomino hizi katika ngeli zake.
    Raha
    Kumbikumbi

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Akifisha sentensi hii: alikufa siku ya jumapili tarehe 20 mwezi wa januari mwaka wa 2011. (Solved)

    Akifisha sentensi hii:
    alikufa siku ya jumapili tarehe 20 mwezi wa januari mwaka wa 2011.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Kwa kutoa mifano mwafaka, onyesha mianzo tofauti katika ngeli ya U-ZI. (Solved)

    Kwa kutoa mifano mwafaka, onyesha mianzo tofauti katika ngeli ya U-ZI.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Andika vigezo vitatu vinavyotumiwa kuainisha irabu. (Solved)

    Andika vigezo vitatu vinavyotumiwa kuainisha irabu.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Soma makala yafuatayo kasha ujibu maswali Ajali haina kinga. Watu wengi wanapotajiwa neno ajali, fikira zao hukimbilia moja kwa moja hadi barabarani. (Solved)

    Soma makala yafuatayo kasha ujibu maswali
    Ajali haina kinga. Watu wengi wanapotajiwa neno ajali, fikira zao hukimbilia moja kwa moja hadi
    barabarani. Mara chachemawazo yao huenda viwandani, mashambani au kwenye viwanja vya
    michezo. Ni nadra sana watu kufikiraia kuwa nyumbani ndiko ajali nyingi zinztokea.
    Idadi kubwa ya ajali nyumbani hutokea kimchezo tu. Watu wengi wameteleza msalani na wanapata
    majeraha mabaya. Wengine wameteleza walipokanyaga vitu vyenye unyevu sakafuni, kama vile
    mafuta, mabaki ya chakula au hata maganda ya ndizi. Ulemavu walio nao watoto na hata watu
    wazima hutokana na ajali kama hizi wasizofikiria wtu wengi.
    Ajali vilevile hutokea watu wanapozama katika shughuli au kupata jazba kuu ya kutenda. Katika hali
    hii, huweza kujiumiza au kuwaumiza wengine bila kujua.
    Hapa tunazungumzia watu ambao hujaribu kubebe mizigo yenye uzani wasiokadiria. Madhara huwa
    kuteguka viungo na kuchanika misuli. Aghalabu hulemewa na kubanwa. Mwandishi wa makala haya
    siku moja alipanda kibao kuangika picha ukutani. Ingawa alikuwa mfupi, ari ilimsukuma
    kuchuchumia. Matokeo ni kibao kilijisukuma nyuma. Mhusika alianguka akajigonga kidevu. Kitendo
    hiki kilisababisha yeye kujiuma ulimi vibaya. Kuvunjika jino na hata kuzirai. Bahati ni kuwa alikuwepo
    mtu aliyempa huduma ya kwanza na kumkimbiza hospitalini.
    Hat hivyo ajali nyingi hutokana na vifaa vya nyumbani. Zana hizi ni pamoja na visu, meko ya gesi,
    mashine zinazotumia umeme na kadhalika na huwa hatari sana, hasa kwa watoto. Kitu kidogo hata
    kama wembe huweza kusababisha madhara makubwa. Kwa hakika hakuna yeyote kati yetu, hata
    waliokulia katika makasri ya fahari asiye na kovu. Makovu haya ambayo tunayaficha katika mavazi
    yetu ni ishara ya majeraha kutokana na ajali nyumbani. Je una kovu lolote?
    Unakumbuka ulivyolipata?
    Ingawa ajali hizi haziepukiki, yawezekana kuzipunguza. Ni muhimu kukuza tabia na mazoea ya kuwa
    waangalifu nyumbani. Kwa mfano, ni hatari kuepua chungu chenye maji yanayotokota mekoni kwa
    mikono mitupu. Aidha ni kutowajibika kuchanganya kitu chochote chenye unyevu na mafuta moto
    mekoni. Watu wengi wamebambuka ngozi na nyumba kuteketea kwa namna hii. Kwa hivyo ni vizuri
    kupata ujuzi wa jinsi ya kutumia vifaa na kuhakikisha tunavirudisha ipasavyo.
    Jambo la tatu na muhimu zaidi ni kuwepo kwa vifaa pamoja na uwezo wa kutoa huduma ya kwanza.
    Inawezekana kuokoa maisha au kuounguza majeraha kwa kuchukua hatua za dharura.

    Maswali
    1. Eleza maana ya methali ‘Ajali haina kinga’

    2. Kwa nini mwandishi anasema ajali nyumbani hutokea kimchezo?

    3. Ni mambo gani mengine yanayosababisha ajali nyumbani?

    4. Onyesha vile invyowezekana kupunguza ajali nyumbani.

    5. Eleza maana ya:
    (i) Jazba
    (ii) Makasri
    (iii) Makovu
    (iv) Kuepua

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Fafanua dhima tano za fasihi simulizi katika jamii yako. (Solved)

    Fafanua dhima tano za fasihi simulizi katika jamii yako.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Sanaa ni nini? (Solved)

    Sanaa ni nini?

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Taja majukumu mawili ya lugha rasmi. (Solved)

    Taja majukumu mawili ya lugha rasmi.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Taja sifa mbili za lugha ya kitaifa. (Solved)

    Taja sifa mbili za lugha ya kitaifa.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Eleza sifa tatu za sajili ya hospitali. (Solved)

    Eleza sifa tatu za sajili ya hospitali.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Kamilisha methali; Makuukuu ya tai....... (Solved)

    Kamilisha methali;
    Makuukuu ya tai.......

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Yakinisha senensi ifuatayo. Hatutahitimisha masomo mwaka huu. (Solved)

    Yakinisha senensi ifuatayo.
    Hatutahitimisha masomo mwaka huu.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Andika kinyume cha sentensi hii. Nyanya aliingia chumbani na akazima taa. (Solved)

    Andika kinyume cha sentensi hii.
    Nyanya aliingia chumbani na akazima taa.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Tunga sentensi yenye kitenzi kisaidizi na kitenzi kuu. (Solved)

    Tunga sentensi yenye kitenzi kisaidizi na kitenzi kuu.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Andika sentensi hii kwa wingi. Msimamo unaofaa ni wa uadilifu. (Solved)

    Andika sentensi hii kwa wingi.
    Msimamo unaofaa ni wa uadilifu.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi. (Solved)

    Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi.

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)

  • Ainisha viambishi katika neno lifuatalo. Waliowachezea (Solved)

    Ainisha viambishi katika neno lifuatalo.
    Waliowachezea

    Date posted: November 22, 2022 .    Answers (1)