Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika kinyume cha sentensi hii. Nyanya aliingia chumbani na akazima taa.

Andika kinyume cha sentensi hii.
Nyanya aliingia chumbani na akazima taa.

Answers


Kavungya
Nyanya aliondoka chumbani na akawasha taa.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:36

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions