Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Soma makala haya kisha ujibu maswali. Kwani mnauza salamu? Sina time ya kuwaste hapa. Am a busy person leta order yako haraka... Nimesema samaki wa kupaka. Mimi...

Soma makala haya kisha ujibu maswali.
Kwani mnauza salamu? Sina time ya kuwaste hapa. Am a busy person leta order yako haraka...
Nimesema samaki wa kupaka. Mimi ng’ombe na chicken.
a. Tambua sajili hii.
b. Fafanua sifa tisa za sajili hii.

Answers


Kavungya
a. sajili mkahawani/ hotelini.

b.
- Msamiati maalum – order, ngombe, kuku wakupaka.
- lugha ya ucheshi na utani.
- Kuchanganya ndimi.
- Kuhamishandimi.
- Lugha isiyo sanifu.
- Lugha ya mkato.
- Kuamrisha.
- Kauli fupi fupi.
- Lugha ya heshima inayotumiwa na mhudumu.
- Matumizi ya tarakimu.
- Majibizano.
Kavungya answered the question on November 26, 2022 at 08:06

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions