Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Tume Mbalimbali Zilizojadili Hali Ya Lugha Nchini Kenya

2914 Views
10 Purchases

Summary

Nafasi ya Kiswahili katika mfumo wa elimu kabla na baada ya uhuru ilikuwa ikitegemea tume, hasa baada ya kuundwa kwa tume zinazotoa mapendekezo kuhusu mwelekeo wa elimu nchini. Kati ya tume nyingi zilizoundwa, zikiwemo Ominde (1964), Wamalwa (1972), Gachathi (1976) na Kamunge (1998). Tume ya Mackay (1981) na tume ya koech (1999) zitabaki katika kumbukumbu za kihistoria kama tume zilizoendeleza sana kiswahili nchini kenya kwa kupendekeza liwe somo la lazima katika shule za msingi na sekondari a) Tume ya ominde 1964 Mnamo mwaka wa 1964 serikali iliteua tume ya elimu ya Kenya iliyoongozwa na prof. Ominde.Tume ambayo ilipendekeza mfumo wa elimu wa 7-4-2-33. Tume hii pia ilipendekeza matumizi ya kiingereza katika kufundishia tangu shule za msingi.
..................

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Tume Mbalimbali Zilizojadili Hali Ya Lugha Nchini Kenya – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources



View all resources  

What Our Users Say