Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Sifa za ngano za mashujaa

Sifa za ngano za mashujaa

Answers


Janet
1)Hutumia chuku kusifia matendo na uwezo wa shujaa.
2)Majagina huwa na uwezo wa ukiamaumbile (uwezo unaozidi wa binadamu)
3) Huwa ni vigumu sana kwa shujaa kuuawa minghairi ya idadi ya maadui wake
4)Shujaa huwa na siri kuu ya nguvu zake (kama nguvu kuwa kwenye kivuli, nywele, n.k)
5) Jagina hupigania haki za jamii yake
6) Jamii ya jagina huwakilisha wema ilhali maadui wao huwakilisha ubaya.
7) Jagina hufa mwishoni, haswa baada ya kusalitiwa na mtu wake.
8) Hadithi hizi huaminika kuwa za kweli ama zenye kiwango fulani cha ukweli; kwamba mashujaa hao walikuwa.
mwendwamutindi answered the question on November 7, 2017 at 07:22

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions