Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza sifa zozote nne za nyimbo.

Eleza sifa zozote nne za nyimbo.

Answers


Winnie
Watu huimba katika hafla mbalimbali au mahali popote penye shughuli

Nyimbo nyingi huwa na ujumbe maalum ambao hujitokeza kwa njia za mafumbo au lugha fiche

Kila wimbo una wakati maalum wa kuimbwa, mahali na hata waimbaji wake

Kikundi cha watu chaweza kuimba au mtu mmoja kutegemea azma ya wimbo na muundo wake

AU

Huimbwa na mtu mmoja au kundi la watu.
Huandamana na ala za muziki kama ngoma.
Huimbwa na kuambatana n kucheza.
Huwa na maudhui maalum kutegemea muktadha na tukio.
Waimbaji wanaweza kujipamba na mavazi maalamu.
Huimbwa na kubadilika kutegemea majira ya mwaka.
Nyimbo hubeba ujumbe mzito.
Lugha teule ya kisanii hutumika.
Wincate 1 answered the question on October 25, 2017 at 06:36

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions