Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Fafanua maana ya pembezi

Fafanua maana ya pembezi

Answers


KELVIN
Ni aina ya tondozi inayokusudiwa kusifu watu aina fulani katika jamii kutokana na matendo au mchango wao k.v. watawala, walezi wazuri, mashujaa wa vita, waganga mashuhuri hata wapenzi waliopigania pendo lao.
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:54

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions