Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Fafanua kikamilifu dhana zifuatazo za fasihi simulizi i) Nyiso ii) Mbolezi iii) Hodiya iv) Bembelezi v) Sifo

Fafanua kikamilifu dhana zifuatazo za fasihi simulizi
i) Nyiso
ii) Mbolezi
iii) Hodiya
iv) Bembelezi
v) Sifo

Answers


Davis
i)Nyimbo zinazoimbwa wakati wavulana wanatiwa jandoni.
ii)Nyimbo zinazoimbwa wakati wa matanga
iii)Nyimbo za kazi
iv)Nyimbo zinazoimbiwa watoto wadogo ili kuwabembeleza ili kulala au kunyamaza wakati wanapolia.
v)Nyimbo za sifa,huimbwa kwa malengo ya kutoa sifa kwa wahusika.
Githiari answered the question on January 17, 2018 at 09:06

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions