Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza tofauti kati ya malumbano ya utani na mawaidha

Eleza tofauti kati ya malumbano ya utani na mawaidha

Answers


Edith
- Mawaidha hutolewa na watu maalum katika jamii ilhali malumbano ya utani wahusika hukubaliana kufanyiana utani.
- Mawaidha hutolewa na wakubwa kwa wadogo walakini malumbano ya utani hutokea kwa njia ya malumbano au kujibizana.
- Mawaidha hutumia lugha ya kipekee ya kuathiri na kuvuta nadhari ilhali malumbano ya utani mtani hutumia lugha ya ucheshi na upigaji chuku.
eddynightsy answered the question on April 27, 2018 at 08:39

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions